Saturday, May 6, 2017

WHATSAPP TRICK LECTURE 2: JIFUNZE JINSI YA KUTAMBUA KAMA ACCOUNT YAKO YA WHATSAPP KAMA IMEDUKULIWA (HACKED) NA JINSI YA KUJITOA KWA MDUKUAJI (HACKER)

   download%2B%25284%2529

KARIBU TENA NDUGU MSOMAJI WA MAKALA ZETU ZA TECHNOLOGY, MNAMO TAREHE 21/3/2017NILITOA SOMO LA JINSI YA KUUNGANISHA WHATSAPP YAKO NA COMPUTER YAKO, KUTOKANA NA SOMO HILO NIMEPATA MAONI MENGI SANA YA KUPONGEZA NA MENGINE YA KULALAMIKA, WALALAMIKAJI WENGI WANADAI MBINU HIYO NILIOITOA IMECHANGIA KWA KIASI KIKUBWA TATIZO LA UDUKUAJI (HACKING) AMBAPO WATU WAMEKUA WAKIUNGANISHA ACCOUNT ZA WHATSAPP ZA WAPENZI WAO PASIPO RUHUSA YAO, KUTOKANA NA MALALAMIKO HAYO LEO HII NINAKULETEA MBINU AMBAYO UNATAKIWA KUITUMIA ILI KUTAMBUA KAMA ACCOUNT YAKO YA WHATSAPP IMEDUKULIWA (HACKED) NA JINSI YA KUJITOA KWA HUYO MDUKUAJI (HACKER).

KWANZA KABISA TUJIKUMBUSHE NINI MAANA YA UDUKUAJI (HACKING) : UDUKUAJI (HACKING) NI KITENDO CHA KUCHUNGUZA, KUSOMA, KUCHUKUA AU KUBADILI TAARIFA ZA MTU MWINGINE KWENYE MTANDAO PASIPO RUHUSA AU IDHINI YA MUHUSIKA.


SASA TURUDI KWENYE SOMO LLETU LA LEO

KUZINDULIWA KWA MFUMO WA KUTUMIA MTANDAO WA WHATSAPP KWENYE COMPUTER YAANI (WHATSAPP WEB) KUMECHANGIA SANA NA KUCHOCHEA TATIZO LA UDUKUAJI WA TAARIFA KATIKA MTANDAO HUU, KWA SOMO LA TAREHE 21/3/2017 TULIJIFUNZA NAMNA YA KUUNGANISHA ACCOUNT YA WHATSAPP NA COMPUTER YAKO, KAMA ULIKOSA SOMO HILO SOMA HAPA download%2B%25282%2529   

SASA LEO TUNAENDA KUJIFUNZA NAMNA YA KUTAMBUA KAMA ACCOUNT YAKO YA WHATSAPP IMEDUKULIWA NA NAMNA YA KUMUONDOA MDUKUAJI

1: NAMNA YA KUTAMBUA KAMA ACCOUNT YAKO YA WHATSAPP IMEDUKULIWA AMA LA.

FUATA HATUA ZIFUATAZO

1: Ingia kwenye account yako ya whatsapp kwa kuclick app yako kama hivi

WhatsApp%2BImage%2B2017-03-21%2Bat%2B16.19.19 

2:  Kisha baada ya hapo ikifunguka utatakiwa kuclick (kubofya) kwenye nukta tatu ambazo zipo upande wa kulia juu kabisa kama hivi

WhatsApp%2BImage%2B2017-03-21%2Bat%2B16.19.19%2B%25281%2529

3: kisha baada ya hapo utatakiwa kubonyeza sehemu iliyoandikwa whatsapp web kama hivi:-

WhatsApp%2BImage%2B2017-03-21%2Bat%2B16.19.19%2B%25282%2529

4: Endapo itakuja option au ujumbe kama huu ufuatao ujue na utambue kuwa account yako iko salama na haijadukuliwa (NOT HACKED)

WhatsApp%2BImage%2B2017-03-21%2Bat%2B17.08.15

5: Ila kama yamekuja  maandishi au message kama hiyo hapo chini basi ujue account yako imedukuliwa (HACKED) angalia picha hii:-

 WhatsApp%2BImage%2B2017-03-21%2Bat%2B16.19.19%2B%25283%2529

NAMNA YA KUJITOA KWA MDUKUAJI (HACKER) ILI ASIENDELEE KUDUKUA (HACK) ACCOUNT YAKO YA WHATSAPP

Kujitoam kwa mdukuaji (HACKER) ni rahisi sana kwani endapo umeikuta message / maandishi kama hayo hapo chini unachotakiwa kufanya ni kuBONYEZA MAANDISHI YALIYOANDIKWA " LOG OUT FROM ALL COMPUTER"  Kama inavyoonesha picha hapo chini:-

WhatsApp%2BImage%2B2017-03-21%2Bat%2B16.19.19%2B%25283%2529

Sasa basi baada ya kubofya hapo utakua umejiondoa kwenye computer yake.

Ili kuthibitisha hilo tafadhali fuata step / hatua zote na mwisho ukikutana na ujumbe kama huu hapo chini basi utakua umejitoa kwa mdukuaji (HACKER)

WhatsApp%2BImage%2B2017-03-21%2Bat%2B17.08.15

Tahadhali: EWE NDUGU MSOMAJI WA MAKALA ZANGU UKURASA HUU (BLOG) UNAKUFUNDISHA MBINU HIZI KWA LENGO LA KITAALUMA TU WALA SITAHUSIKA NA MAKOSA YOYOTE YATAKAYO JITOKEZA BAADA YA WEWE KUTUMIA TAALUMA HII KINYUME. IKUMBUKWE KUWA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO IPO A INAFANYA KAZI.


KWA MAKALA ZAIDI ZA KITECKNOLOJIA USISITE KUTEMBELEA BLOG HII AU BONYEZA HAPA KWA TAARIFA ZIDI ZIHUSUZO TECKNOLOJIA YA LEO   download%2B%25282%2529

KWA MAONI NA USHAURI TUANDIKIE KUPITIA WHATSAPP / TELEGRAM / SMS KWENDA 0767973853 PIA BARUA PEPE (E - MAIL) mbinda74@gmail.com

PIA KWA MAHITAJI YA KUFUNGULIWA BLOG YA KIJANJA NA KISASA ZAIDI KWA GHARAMA YA Tsh 15000/=, NA TUNATOA PIA HUDUMA YA DOMAIN NAME REGISTRATION YAANI KUBADILISHA BLOG ZENYE 
_ _.blogspot.com NA KUWA _ _.com KWA Tsh 25000/= tu KWA MWAKA MZIMA, PIA KWA MAHITAJI YA LOGO MBALIMBALI WASILIANA NASI KWA WHATSAPP / TELEGRAM / SMS KWA NAMBA  0767973853 PIA BARUA PEPE (E - MAIL) mbinda74@gmail.com

PIA TUNAPOKEA ODA ZA HUDUMA HIZO

AHSANTE 

0 comments:

Post a Comment